KCSE Revision AI kcserevision.app

KCSE 2022 Kiswahili Paper 1

The KCSE 2022 Kiswahili Paper 1 (102/1). Insha: insha ya lazima na insha ya kuchagua. View it below, download it to print, or revise it with the AI tutor, which takes you through each question and marks your answers. Source: Teacher.co.ke.

102/1 · KISWAHILI · Karatasi ya 1 · INSHA · Des. 2022 · Muda: Saa 1¾

Maagizo: Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima. Kisha chagua insha nyingine moja kutoka zile tatu zilizobakia. Kila insha isipungue maneno 400. Kila insha ina alama 20.

1. Lazima
Fadhila ni miongoni mwa wanafunzi wanaogombea nafasi ya kiranja mkuu katika shule ya upili ya Kumekucha. Hekima anamhoji kuhusu mikakati atakayoweka ili kuboresha hali ya maisha shuleni. Andika mahojiano hayo.

2. Rafiki yako hapendi riadha. Andika barua kumshawishi kubadili mtazamo wake.

3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya methali ifuatayo: Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe.

4. Tunga kisa kitakachomalizika kwa maneno yafuatayo:
... Hapo ndipo nilipotambua kwamba mtu akitia bidii katika jambo hata likiwa gumu vipi, hufanikiwa.

More Kiswahili papers